Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa sawaHahahaaaaaaa
Kwa taarifa yako mbele unajulikana ,nyuma unajulikana
Umbo la gitaa
Shape la gitaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa sawaHahahaaaaaaa
Kwa taarifa yako mbele unajulikana ,nyuma unajulikana
Umbo la gitaa
Namkumbusha Shangazi kufunga mkanda![emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 991469
Nakazia hapo hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa sawa
Shape la gitaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
EwaaaaaaMarhabaaa toto,jambo?
HahhahahahaHahaahaaaaa
Wa personality sio
Mzee wake dada angu weeehHahahahaaa
ebu ukoo
Nakazia hapo hapo
Hahahaaa
Asante toto [emoji8][emoji8][emoji8] nikipanda kwenye magari ya watu nikipewa lift nitakuwa nafungaNamkumbusha Shangazi kufunga mkanda![emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 991469
Eeenh kwahiyo sitakiwi kuwa portableUportable na ww wapi na wapi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yeye ni Michelin au sio!
Hata kutembea tu nishida kwake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mniwacheeeeee mume wangu mwenyewe ananipendea ubonge wangu kaniambia nikipungua tu ananitafutia mchepukoHahahahahaaaaaaaa
Baba wawili na wewe mwanachama kumbe nitakuongeza kwenye listHahaha hz tafiti hz
Ndiwooo baba wawili mjomba yenu ananipenda hivyohivyo mwanaume wa pekee yule baba tena hataki kabisa nipungue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lkn mjomba alikupendea hvyo hvyo na shapeless lako
Anakujazaaaa huyo mzee baba wawili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa sawa
Shape la gitaa
Kiuno nyigu hicho ilumeshupalia ubongeMniwacheeeeee mume wangu mwenyewe ananipendea ubonge wangu kaniambia nikipungua tu ananitafutia mchepuko
Toto zuri ya shangazi inayompenda mke wa mtu![emoji4][emoji4][emoji4]Saferty first
Kwenye list ya mara 20 eeh [emoji23][emoji23][emoji23]Baba wawili na wewe mwanachama kumbe nitakuongeza kwenye list
Hahahaha mjomba anajua sana aiseeNdiwooo baba wawili mjomba yenu ananipenda hivyohivyo mwanaume wa pekee yule baba tena hataki kabisa nipungue
Dada ako yupi?Mzee wake dada angu weeeh