...hawa nao, yaani mke alikuwa anajiswafi vizuri huko nyuma na kuacha mbele. Nitarudi tena kuandika hapa
Asante sana kwa Je Wajua!
Tunakupenda na mimi nakupenda sana aunt yangu
Shangazi acha ubaguzi mimi hunipendi!!
...usiponiamini wewe hakuna mwingine wa kuniamini.
Pumzika unono usiku huu
Habari yako tetra
Njema za ww dear
Sina dear ila ipo intertainment
Shikamoo
Najua binamu unanipenda pamoja na kuwa nikiwa sipo unanipiga sana madongo
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]...duh, umepotoshwa kwa kweli. Me ndo huwa nasema maneno mazuri mazuri ya kukanusha maneno yao mabayamabaya kukuhusu wewe aunt yangu. Wasituchonganishe
Niaje ?[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]
Aisee nko poaNiaje ?
Nilikuwa TKY sasa nikakureply kwenye huu uzi ulikuwa offline......
...........
Pouwah
Aisee nko poa
Kwetu network mbovu mno ilikuwa inanipa uvivu kuingia jf