Makapuku Forum

Makapuku Forum

J2 njema kwako pedeshee wa koroshow

Sent using Jamii Forums mobile app

Asante sana mdau. Koroshow sasa hivi ukienda kudai utasema unaenda vitani maana wanajeshi wamevaa gwanda kabisa wanakuuliza cheti cha uhakiki hata kama jina wanalo. Me bado wamesema watahakiki upya maana nimeuza kilo nyingi sana wanadhani labda mimi ni mzee wa kangomba kumbe wala, nalima kisasa
 
Tuwe na wiki njema wadau, wiki nzuri kabisa kwa sababu shule zimefunguliwa na barua ya mwalimu mkuu kwa mzazi inataka mtoto aripoti shuleni na bank slip kwamba umelipa ada nzima
 
Wana hasira za kubangua kwa meno
We endelea kuvuta subra mijihela yaja.
Asante sana mdau. Koroshow sasa hivi ukienda kudai utasema unaenda vitani maana wanajeshi wamevaa gwanda kabisa wanakuuliza cheti cha uhakiki hata kama jina wanalo. Me bado wamesema watahakiki upya maana nimeuza kilo nyingi sana wanadhani labda mimi ni mzee wa kangomba kumbe wala, nalima kisasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana hasira za kubangua kwa meno
We endelea kuvuta subra mijihela yaja.

Sent using Jamii Forums mobile app

..ha hahahhaa, unaijua roho ya korosho ilivyo, huwa haiangalii una gwanda au nyanyapensi, walikuja na mbwembwe sasa wakikuona wanakukasilikia usiwaombe hela yako.

Navuta subra na hadi napaa ndoto za kuwa na Subira.

Naamini umekuwa na wikend njema na alfajiri hii unajiandaa kupasha kiporo, shule zimefunguliwa
 
kwakua mie nnakua ndo boss wao kwa wakati huo lzm niongee kimasai kwa mbwembwe kbs na lzm watafute mtafsiri kwa gharama zao.
...acha tu, shule zenyewe zinaitwa ingilishi midiamu, hata kuwapiga kiswahili unashindwa maana ni speak ingilishi mwanzo mwisho, watakuvisha liswahili speaker bure😛😛😛😛

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwakua mie nnakua ndo boss wao kwa wakati huo lzm niongee kimasai kwa mbwembwe kbs na lzm watafute mtafsiri kwa gharama zao.

Sent using Jamii Forums mobile app

...ha hahahaha, hata kama utaongea Kibarbaig kama hauna bank slip utakutana na mhazina toka Kenya au India, lugha gongana utasikia anakuambia veve mama yoyoyoo iko nalipa mbesa ndo toto yako Naitapuaki itaingia class
 
kwamba ongea yote fanya yote lkn bank slip ndo muhimu??

Ngoja nimalizie usingizi kwanza
...ha hahahaha, hata kama utaongea Kibarbaig kama hauna bank slip utakutana na mhazina toka Kenya au India, lugha gongana utasikia anakuambia veve mama yoyoyoo iko nalipa mbesa ndo toto yako Naitapuaki itaingia class

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom