Yaani obe Hutu huyu mgoni wangu " ndiye mchungaji " wakuniombea
Dunia simama nishuke
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]usijifanye huzitaki hapa wakati moyoni unatabasam
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji8][emoji8][emoji8]na unihonge za kutosha...my telemundo, yaani kila nikikuangalia asubuhi hii naona kama mwaka mpya umeanza, sidaiwi kodi wala ada ya shule ya watoto na nina hela ya kuhonga.
umeamaka salama kipenzi changu mwenyewe?
Hahahaa sirudiiKwahiyo ABJ atarudi kwangu eeh !! Naomba niongee na mchungaji wako tafadhali "
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ntarudi hela zikiishahivi kweli hata umeshindwa " kunipa neno la matumaini " Au ndio unashirikiana na mtoa roho kuimalizia roho ...
ABJ nimekukosea nini mama" ina maana Yale mautamu yako yote uliyokuwaga unanipa ndio nitaishia kuyasikia kwenye radio tu " .. dahhh nazimia
Mama mi nazitaka sn kutoka kwako mhasibu wa Mr.[emoji4][emoji3][emoji3][emoji3]usijifanye huzitaki hapa wakati moyoni unatabasam
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijambo babe umeamkaje eti
..na nikimaliza maombi ni lazima utoe sadaka, sio chenjichenji, maombi yanahitaji notinoti. Hapo uyazidi kubarikiwa na utasahau kama uliwahi kupenda maana nitakuwa na hela yako ya sadaka na nitalipwa hela ya korosho
Thanks Ngabu
Happy new year to you too [emoji8]
Mh..na nikimaliza maombi ni lazima utoe sadaka, sio chenjichenji, maombi yanahitaji notinoti. Hapo uyazidi kubarikiwa na utasahau kama uliwahi kupenda maana nitakuwa na hela yako ya sadaka na nitalipwa hela ya korosho
Hata nikiiba ndio shangazi tena mtafanyaje
@hearly anataka kujiua sababu ya kuachwa
Woyooooo
Safi dogo mzima weweHabari dada
Safi dogo mzima wewe