Za sk njema heri ya skukuu mama.
Bby hajambo.? (Na wale full track)
Sent using Jamii Forums mobile app
Msalimie jamani nimemmiss mm
Wouzeeerrrkweli mourinho ulistahili kuondoka ulikuwa unatuharibia team
Yaan baba wawili sasa hivi ukiwa unaangalia man u huna wasiwasi kabisa mou akufwe kabisa vijana wanamuumbuaUmeona eeh,,sasa hv angalau tutatembea kifua mbele kama tumepigwa ngum ya mgongo,,ni mwendo wa ushind tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ametekwa huyo sio kawaidaKwani nae ametekwa au ndo Jiwe alikazia teuzi?
Behaviourist Shangazio anakuita
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeh,,sasa hv angalau tutatembea kifua mbele kama tumepigwa ngum ya mgongo,,ni mwendo wa ushind tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa tena sio la mchina
Ha ha ha ha tatzo anko tyl kashantambulisha mashangaz wengi,,nisamehe tu ha hass yaani X wa Anko wako kbs anakuamkiaje shkamoo, ?
Mie mzima nashkuru.
Nipo mie sijapotea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanirudisha kwa spidi ya 4G, injiniaaa soma hyoooTupoooooo kwahiyo ndio kakurudisha eenh
Itakuwa tena sio la mchina
Ndio mwenyew jiran,,sema kuna shangaz yako hapa ana kampen yake ya chini kwa chni kupinga hao wawili hahahaa
Hahhaha na umeharibuHa ha ha ha tatzo anko tyl kashantambulisha mashangaz wengi,,nisamehe tu ha ha
Aisee,,safi sana kama u mzima,acha tutafakar tunauanza vp mwaka ujao kwa kudra zake Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngapi hukoooooooooooKanirudisha kwa spidi ya 4G, injiniaaa soma hyooo
Naye achwa abemendwe tu anavyopenda chura
Ha ha ha ha tatzo anko tyl kashantambulisha mashangaz wengi,,nisamehe tu ha ha
Aisee,,safi sana kama u mzima,acha tutafakar tunauanza vp mwaka ujao kwa kudra zake Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app