Kwema baba wawili za wewe
Asante baba wawili jamani vipi wewe unaendeleaje
Niko poa sana shangazi,,tupo tunaimalizia weekend taratibuAsante baba wawili jamani vipi wewe unaendeleaje
upo poa!?..Shikamoo shemela mbebez wa kivuruge wetu
Wawili wako wa kudownload wamelala eeenh wanajiandaa kuangalia sultan
hata situlii mara kule au hapa!..We uko wapi naona mtekaji anakuachia achia
huu huu.Upii huo
Kwahiyo unataka kuniacha eeenh ebu kuwa muwazi basi nijijue jimbo lipo wazihata situlii mara kule au hapa!..
huu huu.
Hivi hawajalipwa tu
Ha ha ha ha aisee,,hutaki kuamini kabsa kuwa tunatoka kwenye ukoo wa neema,,wapo pia kabsa,,,wanaangalia zile zilizowekewa maneno ya kiswahl na dj afro ha haWawili wako wa kudownload wamelala eeenh wanajiandaa kuangalia sultan
Kuwa nae makini huko kwenye malipo,,maana alikuwa anaitafuta # ya sepenga sana,,,pesa zote za koroshow zisije kuishia huko
Za kina lufufu eeenh kwahiyo sultan baba wawili hawaangalii eeenhHa ha ha ha aisee,,hutaki kuamini kabsa kuwa tunatoka kwenye ukoo wa neema,,wapo pia kabsa,,,wanaangalia zile zilizowekewa maneno ya kiswahl na dj afro ha ha
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwiii....Kuwa nae makini huko kwenye malipo,,maana alikuwa anaitafuta # ya sepenga sana,,,pesa zote za koroshow zisije kuishia huko
Sent using Jamii Forums mobile app