Makapuku Forum

Jumatatu njema wadau! Binamu nimerudi baada ya kwenda kijijini kujamiiana (socialize) na mambo ya sikukuu ya tatu ya mtu wangu wa karibu sana. Kama kawaida, ninyi ni watu poa sana.
Kuna Jipya?

marybaby sorry sikukujibu quote yako sababu ya changamoto ya kimwili ila Asante kwa kuandika kitu
 
Reactions: Lee
Binamuu una faini
Nipo anko. Nilipatwa na majanga ya kidunia ila sasa nimerudi.
Naona harakati zinaendelea. Vipi marybaby hajamimiss kweli? Nimemmiss hadi nikahisi kutaka kujikopa korosho zisizobanguliwa
 
Reactions: Obe
Husna alikuwepo jana ...ABJ ulipotea nae ...mary naye ashaamua raha kujipa mwenyewe ila yupooo
 
Reactions: Obe
Husna alikuwepo jana ...ABJ ulipotea nae ...mary naye ashaamua raha kujipa mwenyewe ila yupooo

Husna atakuwepo jana, kesho na leo maana ndo kila kitu, hebu fikiria mimi ni mkali namna gani kumbeba mke wa mganga toka sumbawanga omarion5

Mwambie marybaby nnammiss sana, niliahidi kula naye hela za korosho, siwezi kumtenga
 
Reactions: Lee
Msumbufu wa forum nipo hapa!Jifanye kama unajikuna hivi halafu ujifanye kunichukia ili mimi nitupie tena video nyingine pendwa!
 
Reactions: Lee

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…