Makapuku Forum

Makapuku Forum

Dah,,kumbe ni ww ndio ulimstua,,sema leo katulia hata sijaamin kama angelianzisha ,,maana balaa lake huwa sio la nchi hii,,,wale wa pale kaunta walikuwa wa binamu yangu Obe nilikuwa namuwekea mazingira mazur il akifika abebe mzgo tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ww nae kiboko mjomba dah
Hahahahahahahaah wakatiii binamu alikuwa tayarii ashaingiaa chimbo ila bora imeishaa salama japo umemsakiziaa mjomba wako ila sio mbaya ...uzuriii umetulipiaa bili
 
Back
Top Bottom