Dah,,kumbe ni ww ndio ulimstua,,sema leo katulia hata sijaamin kama angelianzisha ,,maana balaa lake huwa sio la nchi hii,,,wale wa pale kaunta walikuwa wa binamu yangu
Obe nilikuwa namuwekea mazingira mazur il akifika abebe mzgo tu
Ww nae kiboko mjomba dah