Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mjombaa hiviii unajuaa mm cheupe ndo nilimshtuaa aje na sikujua kama kaunta una wa mtaa wa tatu mrembo wako kimodoooo ...nisamehe ila ugomvi umeumalizaa kiana mjomba mjomba na wewe ndo mjomba wangu
Vitu vingine sio vya kuja kusema hapa mjomba,,huntakii mema sasaUnataka shombeshombe wangu awe mwekund kwa kukasilika eeh
 
Mjombaa hiviii unajuaa mm cheupe ndo nilimshtuaa aje na sikujua kama kaunta una wa mtaa wa tatu mrembo wako kimodoooo ...nisamehe ila ugomvi umeumalizaa kiana mjomba mjomba na wewe ndo mjomba wangu
Dah,,kumbe ni ww ndio ulimstua,,sema leo katulia hata sijaamin kama angelianzisha ,,maana balaa lake huwa sio la nchi hii,,,wale wa pale kaunta walikuwa wa binamu yangu Obe nilikuwa namuwekea mazingira mazur il akifika abebe mzgo tu

Ww nae kiboko mjomba dah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom