Mjomba mjombaa nilichokiona ulidhamilia kufanya vile au umepitiwaa ?
Wewe kibokoo
Vitu vingine sio vya kuja kusema hapa mjomba,,huntakii mema sasaUnataka shombeshombe wangu awe mwekund kwa kukasilika eeh
siku nzima sijamwona
Hakuna cha kupaa wala nn alitaka nimpe manga teuzi nampa teuzi gani sasa acha apambane na hali yakeJiwe mda mwingine zinapaagaa sasa hii teuziii ganiii
Dah,,kumbe ni ww ndio ulimstua,,sema leo katulia hata sijaamin kama angelianzisha ,,maana balaa lake huwa sio la nchi hii,,,wale wa pale kaunta walikuwa wa binamu yangu Obe nilikuwa namuwekea mazingira mazur il akifika abebe mzgo tu
Ww nae kiboko mjomba dah
Hayo madongo siyaelewi kabisa tatizo nini tenaaa?Jiwe mda mwingine zinapaagaa sasa hii teuziii ganiii
Umeona mjomba hahahaJiwe mda mwingine zinapaagaa sasa hii teuziii ganiii
Pole masikini ulishavurugwa dahMsinivuruge na mambo ya matokeo jamani mpira umeshaisha
Hakuna aliyekataa shangazi,,kizuri kula na jirani yako hahaha kuliko kiozeJirani yako ni kama ndugu yako
HahahahaNaombeni kujua
Hewaaaa sasa kuna watu siwasomi apo juu hem waweke sawaJiwe akisema hakuna wa kumpinga
Pole masikini ulishavurugwa dah
Mniache kidogo na mambo ya matokeo jamani
Kweli baba wawili bora umpe jirani yako kuliko kikuozeeHakuna aliyekataa shangazi,,kizuri kula na jirani yako hahaha kuliko kioze
Unaipinga kwa nn na yy alitaka teuzi unataka kumkula wewe dada ako baba wawili
Hao achana nao tumosa alivyosema nikupe teuzi alijua nitakupa nani mmHewaaaa sasa kuna watu siwasomi apo juu hem waweke sawa
Hahahaha aseeJiwe mda mwingine zinapaagaa sasa hii teuziii ganiii
Unaipinga kwa nn na yy alitaka teuzi unataka kumkula wewe dada ako baba wawili
shangazi hapana bhna,teuzi ya dada angu lazma unshirikishe