Sawa sawa,,,akiomba chumvi .....
Kuliko kioze,heri kumpatia jirani
Unataka shombeshombe wangu awe mwekund kwa kukasilika eehMjomba mjombaa nilichokiona ulidhamilia kufanya vile au umepitiwaa ?
Wewe kibokoo
Yupo bwana mnapishana tu
Vitu vingine sio vya kuja kusema hapa mjomba,,huntakii mema sasaUnataka shombeshombe wangu awe mwekund kwa kukasilika eeh
Dah,,kumbe ni ww ndio ulimstua,,sema leo katulia hata sijaamin kama angelianzisha ,,maana balaa lake huwa sio la nchi hii,,,wale wa pale kaunta walikuwa wa binamu yangu Obe nilikuwa namuwekea mazingira mazur il akifika abebe mzgo tuMjombaa hiviii unajuaa mm cheupe ndo nilimshtuaa aje na sikujua kama kaunta una wa mtaa wa tatu mrembo wako kimodoooo ...nisamehe ila ugomvi umeumalizaa kiana mjomba mjomba na wewe ndo mjomba wangu
Asee pole Sana
.....haina maana kunyimana
Ha ha ha haaa akuletee matokeo kwanza na mimi ntamuongeza
Pole sanaaaa yani sana tu hata juic hunywi?
NdiwoooooKumbe abj alikuwa na mpendwa !!!
Ha ha ha haaaaa NIMEKUBALI KIROJO SAFI ha ha haaaa raha tu leo.
Hafu alisema ukishasema wewe ndo basi tena eeh?
Ujitahidi utafute umpe jirani yakoKama huna je?
jiweee kamuuuu zisiiiii weiii
Hakipandi chochoteHa ha haaaa kama anaumwa mwambie kuna juice
Sawa sawa,,,akiomba chumvi .....
Kuliko kioze,heri kumpatia jirani