Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Marhaba dada akeShikamooo
Marhaba dada akeShikamooo
Kweli,,,bora kula na jirani kuliko kiozeJirani yako ndio ndugu yako wa karibu
KwemaaaaaaHabari za humu waungwana wenzangu!
hivi mm uzinguaji wangu prince uko wapi kukubeba kote we na uoga wako tu
Hahahaha ,kwann niwa ektie ? Aliyekuambia mm kijana kakudanganyaNacheka mm halafu usikute unatuektia tu hapa huna uzee wowote
Nashukuru mjomba heshima yako![]()
![]()
Kama vipi we mzee
Hahahaha ,kwann niwa ektie ? Aliyekuambia mm kijana kakudanganya
Hamjambo humu
Hahahaha
Vingi tu Rafiki ,najifunza toka kwenu ,vijana wa kisasa
kwenye jukwaa simwoni jamani
Ninaumwa mmShuniee bia zako zipo fungeni liverpool
Safi habari yako dumeHabari za humu waungwana wenzangu!
Kweli,,,bora kula na jirani kuliko kioze
Mh aliyeniambia kwa nn ufike uko jiamini we mzee hizo hisia zangu tu zilikuwa