WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango amesema nchi inapita kwenye kipindi kigumu kidogo kutokana na wafadhili kupunguza kutoa misaada. Kufuatia hali hiyo, amewataka wanaokusanya mapato kuhakikisha wanasimamia kwa nguvu zote zoezi hilo.
Chanzo: NipasheView attachment 968488
Benki ya Maendeleo TIB imemchukulia hatua za kinidhamu dereva wa gari mali ya benki hiyo, aliyemfunga mbuzi kwenye gurudumu la akiba, wakati akiwa safarini kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam.View attachment 968490
Huyu Mama manka Leo naona hataki tunywe supu,toka aende kwa Shirima ktk jumuia hajarudi
Kapuku aliye karibu aje kwa Shayo hapa tuendelee na week end ,kuna laki haina kazi
Hakuna mtu mwenye tabu huku ulimwenguni kama mwafrika, lakini pamoja na tabu zote anazopitia maishani akifa hapumziki, anatakiwa tena awe mzimu wa kutatua matatizo ya ukoo wake.
Afrika tabu sana
Sjambo mimiSafi, mzima marybaby
Kwema aiseeSalama mkuu,,kwema huko??
Wanakutetea muolewaji kiasi kwamba hata umepewa talaka hutaki kwenda kwenukwann
JIWE.Hahhahaha jiwe bwana View attachment 968484
"Hata mimi tangu nasoma shule hadi leo nafahamu kuwa Bendera ya Taifa ina rangi ya njano, na sio rangi ya dhahabu. Rangi hiyo ya njano inawakilisha madini yote. Nimeamua kufuta barua ya Wizara ya Elimu, na kama kuna mabadiliko, yafanyike kuzingatia taratibu zote, kwa kuwa jambo hili ni la kitaifa na sio la mtu mmoja."- Rais Dkt Magufuli
Mo fayaMshambulizi wa klabu ya Liverpool ya Uingereza na Misri Mohammed Salah ndiye mshindi wa tuzo ya mwanakandanda bora wa BBC mwaka huu AFOTY2018.
Bingwa huyo wa tuzo ya mwaka uliopita alipigiwa kura na mashabiki wake kote barani Afrika na kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kushinda tuzo hili mara mbili tangu mwaka wa 2004 Jay Jay Okocha alipotetea taji lake.
View attachment 968487
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo ametoa siku saba kwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kumpa taarifa juu ya maendeleo ya mradi wa Stendi ya Mabasi ya Mbezi- Luis, kinyume na hapo, TZS bilioni 50.9 zilizotengwa kwa ajili ya mradi huo, zitapelekwa katika halmashauri nyingine.View attachment 968497
Mkuu za asubuhiiiiJIWE.
Je wajua inakujia na shunie shunie shangaziiiiiiii
Mkuu za asubuhiiii
Ulilala, ?Tushaaaaamkaaaaaaaaaaaaa
Unanitafutia kesi mjomba ha haMjomba mjombaa nionee stone
Kwema mjomba??