Kila siku unaghairisha Mambo sababu umejawa na Matamanio, sio Malengo. Jua kutofautisha Kati ya hivyo vitu viwili itakusaidia sana kimaisha na Kibiashara
Mm tena tetra nitakujibuUtanijibuu nikiulizaa
Yawezekana wewe ni Tai sio kuku, lakini mazingira uliyoyakuta, jamii unayo interact nayo mara kwa mara inakutengeneza uendelee kujiona kuku. But kiuhalisia wewe ni Tai. Chagua moja paa angani uingie msituni waliko Tai wenzio ukatafute nzige idadi utakayo ili ushibe au baki zizi la kuku uletewe pumba kwa kipimo hata kama kidogo.
Au fursana za binamuSipendagi kuumiza kichwa kwa mtu asiyekunywa pombe mm kwanza bora anywe fanta tu ndio inamfaa zaidi vingine upotevu wa hela
Asante sana mpenziUKIENDEKEZA MBELE VISINGIZIO VYA CHANGAMOTO, ZITAKUPOTEZA KAAAABISA. Punguza kulia lia ovyo, anza project yako hata Kama ndogo lakini ni yako hiyo, hakusumbui mtu. Jichanganye na watu upate channel za Biashara za maana, kwa mtaji mdogo usikaze kichwa.
Fursana kwenye mabar makubwa hakunaga mbona upo hivi we jamaniAu fursana za binamu
Utapata unachokitafuta kwa jiweNa mimi najishangaaa kwelii
Ndio ujue hivi maswali gani hayo lakini si uulize hata google