Eti niwe na stress sababu ya tamuuu sijuiii eti mapenzi nipo kwenye ndoa mm unaenda mwaka wa 10 sijaachwa wala sijaachika na sitegemei kuachwa #haachikimtu# na hata siku moja stress za mapenzi hazinipeleki peleki mm na beer siachi labda heineken zisiletwe Tanzania ndio siku nitakayoacha kunywa