Makapuku Forum

Iliombwa mapema sana bila kujua j3 ni mambo matatu matatu. Kwako marybaby , umebadili avatar umenichanganya. Umededicate huu wimbo kwa anko wangu Lyon Lee mzeenyumbanyingi

Asante sana Mungu akutunze uendelee kutuletea mijinyimbo.

Pole kwa kukuchanganya na Avatar,naona uliizoea kijani

Yes.nilidedicate kwake Lyon Lee
Sema hapo mwisho umeharibu
 
Asante sana Mungu akutunze uendelee kutuletea mijinyimbo.

Pole kwa kukuchanganya na Avatar,naona uliizoea kijani

Yes.nilidedicate kwake Lyon Lee
Sema hapo mwisho umeharibu

Nafurahi umeupenda na nilijua tu umededicate kwa huyu anko wangu kocha wa lombalomba fc, hii ni timu iko Mbezi yeye ndo mfadhiri, kocha, kaputeni na wakati mwingine huwa nakuwa ni refa au shabiki
 
Nafurahi umeupenda na nilijua tu umededicate kwa huyu anko wangu kocha wa lombalomba fc, hii ni timu iko Mbezi yeye ndo mfadhiri, kocha, kaputeni na wakati mwingine huwa nakuwa ni refa au shabiki
Aisee
anaplay kotekote.
Bila shaka ni vile mchezaji bora na mwenye viwango vyake.
Sema hiyo timu dah LOMBALOMBA FC
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…