capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,267
Am doing good, Thank You.I'm good, how are you doing?
Am doing good, Thank You.I'm good, how are you doing?
MhhHapo kazia kidogo,Uhuru toka usukumani![]()
Kwenye ubora wangu uleule wa siku zote
Mhh
Ni CCM bana, tunaanzaje kuwalilia wasukuma na ukubwa wote huu?


kupita sisiemu wametupa wasukuma wanaoleta tabu aiseeAsituharibie shangazi wetu tuuHe he yaan mjomba wenu acha tu
Ndio tunasubiri atueleze km ana shambaKwani binamu ana shamba au ananunuaga korosho tu ili auze itakuwa imekula kwake
Mkuu unahitaji uteuzi tuwasiliane na jiwe?Makapuku.....heri ya mwaka X-mas na mwaka mpya.



Mimi ni mteule tangu nazaliwa.Mkuu unahitaji uteuzi tuwasiliane na jiwe?![]()
Toto tundu nilieshindikana nipo hapa,Sasa hivi nina mpango wa kumuuza Shangazi bei chee!!Salam zako Aunt mwenye wanae wenye fujo nyingi![]()



Nawe pia![]()
Yaan mumvumilie tu shangazi yenu jamani
jiwe
Toto tundu nilieshindikana nipo hapa,Sasa hivi nina mpango wa kumuuza Shangazi bei chee!!![]()
Asituharibie shangazi wetu tuu
.... sitakii.. labda mwakanii
Toto tundu nimeshapata bei!![]()