...acha mabalaa yako, mambo ya chelsea yamekujaje humu muda huu? Mashabiki wa Arsenal mna matatizo sana
InshaaAllah,,kunywa maji naona yaliyopo yanakaba
..hizo ahadi alizitoaga kwa dada mmoja mtutsi, aliahidi kabisa kumuoa ili awe raia lakini maskini dada wa watu na urembo wake aliambulia kuwekwa ndani miaka 9, vita ilipoisha ndo akaamua arudi kwao. Nitakupa namba yake kama unataka kupata uzoefu
..asante, ngoja ninywe maji maana naona hizi monde zinanipa akili sio zangu. Hivi wewe ni mama ushauri?
Baby tulaleee.....si unajuagaa vilee unakitamaniii kifuaaa mwendo wa bedwork
Half time 1-1!
Usisahau na vocha jmn utakua umeniokoa[emoji4]
Naanzaje kudipu ss mie ndio mwenye shida .?...vocha ya nini, wewe mudipu (beep) atakupigia, vocha za Tanzania haziwezi kupiga simu ya Rwanda, ndo nilivyoambiwaga kwenye kibanda cha mpesa
[emoji23][emoji23]hizi za jana tuu zimepitaje. ?...afu wewe jamaa sikupendi sijui wa wapi wewe, achana na habari zilizopita. Leta news Kama Kuna Jipya?
...hivi ule utafiti kuwa kunyonya chuchu kunaongeza kinga ya kupambana na virusi umeshaingizwa kwenye sera za wizara ya utamaduni sanaaa na mapenzi?