Makapuku Forum

Hahahahahagga pole
...umeangua kama mwanaisakojia na sosholojia kwa pamoja, kwa kweli mimi nilimpenda kwa sababu ndani nimenunua kiroba cha mchele, maharage kilo 25 na nyama ziko kwenye friji, sasa nilitaka mtu tusaidiane kula. Lakini ndo hivyo kuna watu hawana njaa
 
Ukope kwa jina langu tena??hujaacha tu mambo yako ya kuniambia niagze hlf unasema ntalipa kwa bili yangu,,,
Mm mwenyew nilikuwa nategemea huo mpunga wa koroshow unigawawie kidogo,,nilitaka twende tanga huko bibie hapa,,tukaweka mambo sawa,,,siunajua sitaki kumchezea binti wa watu.
 
nimependa hapa
 
...umeangua kama mwanaisakojia na sosholojia kwa pamoja, kwa kweli mimi nilimpenda kwa sababu ndani nimenunua kiroba cha mchele, maharage kilo 25 na nyama ziko kwenye friji, sasa nilitaka mtu tusaidiane kula. Lakini ndo hivyo kuna watu hawana njaa
Hahahah alikuambia ana njaa??kwan kwao alikuwa anamiss hyo misosi uliyonunua
 
...ha hahahah, ila kwa safari ya TA basi usihofu sana maana huko ni mambo ya Anjari na biryani tu unachukua jiko

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…