Ni Th Name sio The Name huyo ni mwingine
Acha kulalamika rudi nyuma ulike kwanza post zetu japo page 2
Humu habaguliwi MTU
Huwezi kutoa 1 upewe 100
No shobo
No ufagio
No superstar
...........
Mbona zinaonekana mtu ukichungulia...tatizo jamaa alivyoingia tu kapost nyingi sasa anataka tulike ZOTE wkt zetu alizikuta hakulike zote
Ndo tatizo
................