Makapuku Forum

Hongera binamu,tuwekee picha ya chandarua chenye dawa
 
Daah kweli leo jumaa tatu".. Jf kumepooza watu hakuna kabisa" majukwaa yote nayo pita naambulia ukimya tu ".. watu tuliopo leo ni wachache ...


Poleni Sana kwa Majukumu wakuu
Hahahahha
Ulikuwa unapita kila jukwaa kukagua watu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…