Makapuku Forum

Habari za Jpili wadau wema wa Makapuku Forum. Natumaini mmekuwa na wikend njema, mimi sijambo asanteni kwa kutoniuliza khali yangu.

Nilikuwa na mama yenu tangu asubuhi, tulikuwa kanisani kwenye maombi ya mnyororo, ndo nimerudi sasa. Kuna jipya?
Mama yenu anawasalimia

ABJ karibu sana binamu, pole na uchovu wa honeymoon yako.

marybaby nimekumiss sana
 
Niliwaambiaa
 
Nakusalimiaa sana

...anko hii kampeni ninayopigwa kweli umekaa kimya hata kunitetea ndugu yako hakuna? Watu wamechafua sana jina langu yaani ina maana humu ndani hata ndugu zangu hamnitaki? Nitamtegemea nani sasa kunitetea kama sio wewe na aunt yangu? ningendako kanitosa mchana kabisa, Shunie ndo kawa wa kwanza kunifanyia fitna
 
Mkuu una taarifa kuwa yamefanyika mabadiliko madogo katika baraza la mawaziri na wewe ni mhanga mkubwa sana kwenye mabadiliko hayo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…