Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] woooouzeerrrr



Weekend ni[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] fire
 
Karibuuu ...ilaa marybaby mcute /handsome wa binamu hujammis
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kujitetea unajua Binamu
 
Ukiona hivi ujue shangazi bia zimeshafika mahala pake![emoji4][emoji4][emoji4]
 

...kampeni ya kijinga kabisa hii, kushikana mikono wakati wa salamu ni jambo linaloashiria amani, urafiki na kutojitenga. Busu la shavuni ukutane na yule demu wa anko kajipiga mafuriko ya lipstick si utatafuta talaka bila kupenda. Mimi ninasalimiana kwa kushikana mikono, kampeni ya kunawa mikono ndo muhimu bakteria tunaishi nao, tunapanda daladala wamejaa kwenye viti, hebu twende zaidi ya kampeni hizi, walete maji salama kwa kila mtu ndo waje na upuuzi huu
 
Namuoneaaa huruma uliyenae make mda si mrefuu makofii atayachezeaa ya kutoshaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…