Hahahaha nacheka mm kweli binamu tunae ngoja nikutafutie no ya wema tukuone na wewe kwenye font fed ukidendeka...wengine ni watu, ila hawa wamenilia inglishikozi ili niwe namwambia marybaby maneno matamu matamu ya kiinglishi maana maneno ya kiswahili yanaukakasi sana kimalavidavi.
Ile namba ya Wena Sepenga niliitaka maana nasikia anangekewa kwa mtu aliyepata hela nyingi za mkupuo (tafadhari babay Mary asisikie hizi habari, wewe ni ndugu yangu wa ukweli)
Kwema baba wawili jamani za weweShangazi kwema?
Mbona huku haijanyesha mvua...ndo naamka, si umeona mvua hii iliyodondoka usiku, yaani imewatisha hadi kunguni wamejificha maana si kwa radi hizi
Hata kwetu jamani ye anaishi wapikwetu hakuna mvua aisee
@Obe tujibu.Hata kwetu jamani ye anaishi wapi
Mbona huku haijanyesha mvua
Nipo mbele kbs kutazama font fedHahahaha nacheka mm kweli binamu tunae ngoja nikutafutie no ya wema tukuone na wewe kwenye font fed ukidendeka
...wengine ni watu, ila hawa wamenilia inglishikozi ili niwe namwambia marybaby maneno matamu matamu ya kiinglishi maana maneno ya kiswahili yanaukakasi sana kimalavidavi.
Ile namba ya Wena Sepenga niliitaka maana nasikia anangekewa kwa mtu aliyepata hela nyingi za mkupuo (tafadhari babay Mary asisikie hizi habari, wewe ni ndugu yangu wa ukweli)
Sijambo jamani shangazi yenu na nimeshaimaliza ujue hiyo story jitahidi
Kwa nn huku kwingine hainyeshi,,,,,imenyesha Mtwara,Mkuranga na maeneo machache yanayolima korosho
Hahaha ebu tujiandaeNipo mbele kbs kutazama font fed
Tunakupenda binamuNiwatakie wakti mzuri wadau wa Jukwaa hili mnaolifanya liwe sehemu nzuri kuwepo.
Oh, na maandalizi mema ya wikend.
Nitakuja baadaye tena kuuliza kama kuna jipya
Baba mchungaji habari yakoMwambie shangazi yako Sawa tu
Anataka Mimi nijinyonge?
Sawa bwana
Baba mchungaji habari yako
Shikamoo shangazi!Hahahaha
Baba wawili ebu acha utani bwana