Vipii umefanikishaaa kumchota make niliziona harakatii zako pale kaunta ...mwendo wa vikaratasi
Eeh,mjomba.Shangazi ake ,ulala SAA mbili hii ?
Wa huo uume kukaa sawa ili marehem apumzike kwa amani[emoji23] [emoji23] mbadala wa nn
Namzoom mwenye shanga nyeupe...ha hahahahahaa, dah, koroshow nimeipenda hiyo, wale wakongo itabidi wajiandae sana, itabidi kwa namna ulivyoikalisha kamati ya kunisaidia kuaminika kwa baby Mary basi mcheza shoo wa Koffi anayekata mauno sana na ana shanga nyeupe anakustahili
Ndio ndioUnahudumia ndoa?
HongeraNdio ndio
Shangazi kazi za ndani zinaendeleaje?[emoji4][emoji4][emoji4]hahaha mjomba miss u@Behaviourist
Shangazi kazi za ndani zinaendeleaje?[emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji2089][emoji2089][emoji2089]ngoja nimwite mwajir wangu my boss@Rogie pita huku ulete mrejesho
Ujue hivi vipicha huwa havionekani kwenye gadgets nnazotumia[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hahahaha, nimeamka poa kabisa,sijui shangazi yako Shunie ,ila na Iman naye kaamka poa kabisaEeh,mjomba.
Bila shaka umeamka poa?
Hahahaha, shangazi, unataka kujua yote juu ya shangazi yako? Usihofu nishakuambia yuko mikono salama hapa kwanguHaiwezekani usijue wakati miliwaacha pamoja,lbd km ulinyata usk ukaondoka [emoji87]
[emoji4][emoji4]tulindie shangazi vyema,Hahahaha, shangazi, unataka kujua yote juu ya shangazi yako? Usihofu nishakuambia yuko mikono salama hapa kwangu
Hahahaha, hilo ondoa Shaka, hapa ndio penyewe haswa, shangazi yenu yuko anatakua salama kabisa[emoji4][emoji4]tulindie shangazi vyema,
MamboEeh,mjomba.
Bila shaka umeamka poa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wa huo uume kukaa sawa ili marehem apumzike kwa amani
Heshima yko binamuUjue hivi vipicha huwa havionekani kwenye gadgets nnazotumia
WooooyoooooooHahahaha, hilo ondoa Shaka, hapa ndio penyewe haswa, shangazi yenu yuko anatakua salama kabisa
Nampenda sana shangazi yenu Shunie