Makapuku Forum

Binamu wewe acha ..mambo si mambo wazee wa kazi wanazunguka kila kona ...ukiuzaa shida make returns zao watatufunga

...na hivi walishawahi kukurudishia kodi uliyozidisha? Utaratibu mbovu kabisa, wanajua kuchukua tu ila kurudisha hakuna, na mbaya zaidi kodi bila huduma ni wizi uliosahaulika
 
...na hivi walishawahi kukurudishia kodi uliyozidisha? Utaratibu mbovu kabisa, wanajua kuchukua tu ila kurudisha hakuna, na mbaya zaidi kodi bila huduma ni wizi uliosahaulika
Wanarudishaaa wapiii ...ila mwaka huu na mm ntawafanyiaa faulu make nawadaiii z kutoshaa ila kuna mzigo ntauclear mwezi ujao lazima nipasiooo huko hukoo
 
Wanarudishaaa wapiii ...ila mwaka huu na mm ntawafanyiaa faulu make nawadaiii z kutoshaa ila kuna mzigo ntauclear mwezi ujao lazima nipasiooo huko hukoo

..good luck katika hili, ila inabidi ukae na mtu wa kodi chini aangalie namna ya kukusaidia maana jamaa hawapendi kabisa kurudisha, wanachojua wao ni kuchukua tu kutoka kwako, to them its a one way traffic and hii sio afya kwako mlipakodi na mdau wa kodi. anyway, najua utaweza kufanya na kupata kilicho halali yako japo kwa tabu sana
 
Nishajaribu na wao wanaliaa njaa ...anko tulalee kesho nikumbushee nikwambiw nimetumwa nini mama mama zuhura
 
Nishajaribu na wao wanaliaa njaa ...anko tulalee kesho nikumbushee nikwambiw nimetumwa nini mama mama zuhura

.....ha ahhahhaa, kumbe bado uko na mama Zuhura! hakuchukia ulipomtafuna mdogo wake yule wa chuo uliyemwahidi kumnunulia mapamufuleti😀😀😀😀😀😀😀.

Ukiniambia alichosema basi nami nitanyamaza cheupe dawa alichosema ili moneytalk asijue.

Usiku mwema anko. leo naona makapuku wamelala mapema utasema kila mmoja anadeal na forex Arusha
 
Unahitaji msaada sio kwa round hiyo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…