...watu wanadhani huwa tunatania tukisema sisi ni ndugu, hawajui sasa kuwaonesha kuwa sisi ni ndugu hebu niunganishe na Moneytalk maana kuzuri unakula na ndugu, kibaya sumu unakula peke yako ufe tule msibani
Ndo aunt yako ujue
Hapoo ndo uwa unanichanganyaaa kabisaaaa...
Sasa kama moneysema anavunja undugu tujuee na anaanzajee
Uzuriii kiungo walipewa cha bure na kinavotumika mara kwa mara ndo kinavozidiii kuwa imara ...hakuna sehemu iliyoandikwaa kuwa pesa ikichangamsheeNi bahili sana kwa totoz eeehh?
Unataka uwajuew ilii uzidiiii kunizungukaa..sina mwingine tena ambaye anajulikana maana wengine wote umeamua kuwaweka siri
Kwa kumtetea binamu yako hujambo mkuu!!Uzuriii kiungo walipewa cha bure na kinavotumika mara kwa mara ndo kinavozidiii kuwa imara ...hakuna sehemu iliyoandikwaa kuwa pesa ikichangamshee
Kwa kumtetea binamu yako hujambo mkuu!!
Ameshahamia kwangu huyo mkuu, wewe huna chako tena!Bhasiiii moneytalk navompendaa na makopaa yake usubiriee kwanzaa zamu yako itafikaa
Sasa weww ndo unawezaa kuwa sample ya human transformation inaweza kuanziaa kwakoo yaan baada ya kupendaa churaa utapendaa takoooAmeshahamia kwangu huyo mkuu, wewe huna chako tena!
nimeimagine hayo mnayokutana nayo.poleni sn wanaume mmeumbwa mateso
Mmetekwaa ka binamu
Anko binamu ukipitaa ukakutaa nimewekaa tigo pesa na mpesa plus uwakala wa benk usinishangaee mtakuwa mnabadilishaa kimya kimya ninaowajuaa...pole anko, hili sakata la forex unadhani linaiweka biashara yako mahali gani?
Anko binamu ukipitaa ukakutaa nimewekaa tigo pesa na mpesa plus uwakala wa benk usinishangaee mtakuwa mnabadilishaa kimya kimya ninaowajuaa
Ila anko hali mbaya tusidanganyanee ...washirika wangu wote wamerudiii kwaoo
Ankoo hapo kwenye mkopoo shida tupu mtu anauzaa vitu vya thamani kwa hasara haijawahii kutokeaa ......ndicho wanachoelekea kufanya wafanyabiashara sasa, maana dola na exchange zote zitafanyika gizani maana mchana hazitapatikana na zikipatikana ni za kuruka, mwenye kimini hathubuti kuchana msamba.
Nakuelewa sana, mdau wangu wa karibu mambo ni balaa, na alikuwa na mkopo sasa, inakuwa ngumu kurudisha mkopo ukizingatia mlaji uwezo wake wa kununua umekuwa chini sana.
Naihurumia biashara yako ila pia nakupongeza kutawanya mtaji (diversification) vinginevyo huyu jamaa yangu aliweka mtaji wote sehemu moja, na imekuwa ni kama kucheza kamari
Ankoo hapo kwenye mkopoo shida tupu mtu anauzaa vitu vya thamani kwa hasara haijawahii kutokeaa ...
Leo nilienda kumdaii mtu wangu make deni limekaa coz nilisupply materials kwake ni mtu mzito kidogo nimekuta majamaa ya benk yamemtembelea marejesho bado imebidii nijifanye nilipita kumtembeleaa bhasiii ...watu wanaongea wenyewe barabaran
Binamu wewe acha ..mambo si mambo wazee wa kazi wanazunguka kila kona ...ukiuzaa shida make returns zao watatufunga...inauma sana, bank zinachaji riba kiunyang'anyi kabisa, haziko kwa ajili ya kumsaidia mtu/mfanyabiashara zikko kwa ajili ya kutoa gawio kwa serikali na aserikali inalifurahia gawio ambalo limewaaacha wananchi wameumizwa maana biashara haikutoka, wateja hawanunui ipasavyo.
Tulianza kuwa na utamaduni wa kuwaunga wajasiliamali wa chakula, lakini kwa hali ilivyo mtu anaamua kupika tu nyumbani.
Ulifanya vema kujifanya unapita ili urudi wakati mwingine