Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Mimi hapa.nani wagonjwa wa tennis niwe daktari wao? i
Napenda lakini sina muda wa kufuatilia.
Mimi hapa.nani wagonjwa wa tennis niwe daktari wao? i
HeeeeeeNakuthubir
Saa ya kuwanga au
NtakusemeaNakuthubir
Acha fix wwWa boss, prezdaa, Bitoz sitamgusa, atawaendea makapuku pm kuwa wasilike post zangu ndo utakuwa mwisho wangu hapa
Vilivyokatazwa ndo vitamuz(kwa sauti ya kunong'oneza)Wa boss, prezdaa, Bitoz sitamgusa, atawaendea makapuku pm kuwa wasilike post zangu ndo utakuwa mwisho wangu hapa
Kauli na vitugari vile mkuu, ndio maana hadi mrs prezdaa bitoz anikubali balaa, kama sio kweli hebu like hapa!![]()
Punguza kuhonga
..............................
Jinsi ya kuopoa msichana mzuri
...................................
HahahaVilivyokatazwa ndo vitamuz(kwa sauti ya kunong'oneza)
Kwani we ni jinsia gani?Ntakusemea

AiseeKwani we ni jinsia gani?![]()
Hahaha ukipenda kutania kubali utaniweAcha fix ww
Unajishtukia tu
............
Wanaume hawasemeagi watu, kama vipi unamshika shem wako mkono mnasepetungaAisee
Hawa ni wachezaji tennis kama una DSTV nenda 206 sasa hivi ni live ila siyo najitapa mwanangu mimi ni kikongwe hivo si kijana ana uwezo wa kununua zote hizo. Wakati nipo primary nasec. tulikuwa tunacheza Tennis, Wakati wa nyerere michezo ilikuwa lazima ukiwa mwana michezo unasomeshwa nje ndo wengine waipatia. Mimi nilicheza nikasoma na nikafaulu.Ikitokea nikakuelewa nitashukuru
Mimi nikiona kitu lazima niseme.Wanaume hawasemeagi watu, kama vipi unamshika shem wako mkono mnasepetunga