Kwa wale mnaotaka kwenda China
Behaviourist na
marybaby hakikisheni mnapata paspot size kabisa, ushauri wa aunt yangu
Shunie kuhusu chura muuzingatie isije ikatokea kama yule kimada wa anko wangu
Lyon Lee jina lake limenitoka kidogo maana alikuwa mweusi sana, kaenda Vietnam kufuata chura karudi bila chura anapendaga kifo cha mende tu siku hizi.
sasa burudikeni na hili songi
Tumosa nakusalimia