Makapuku Forum

Makapuku Forum

Huyu mzee unayemuona alivamia benki moja na bastola, akaiba dola 1 ambayo ni sawa na 2200 tu.

Alipofanikiwa, hapohapo benki akakaa chini na kuwasubiri polisi wamkamate.
Alipohojiwa sababu akasema yeye ni mgonjwa, hapati huduma ya afya na anaishi mitaani ila akipelekwa gerezani basi huduma zote atazipata bure.
Screenshot_20181113-225633.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom