Kweli ina roho mbayaLEO NIMEELEWA KWANINI WAHENGA WALITUMIA NENO "ROHO YA KOROSHO" WAKIMAANISHA ROHO MBAYA:-Korosho INA roho mbaya sana imemuondoa Waziri wa Kilimo, utafikiri yeye ndiye mkulima wake. Wenzie mahindi na mbaazi wako kimya japo nao soko limedoda, imemwondoa waziri wa viwanda na BIASHARA kwa kushindwa kuitafutia Wateja na viwanda vikubwa vya kuchakata, mahindi na mbaazi hawajafanya hivyo, korosho ina bodi imevunja bodi yote maskini ya Mungu mahindi na mbaazi hawana cha bodi ila wametulia wee korosho wewe!!!
Hahaha anakutana na bwawa wiiiiiHii ingenoga sn km angeambatanisha na pic ingenoga,
Kwaiyo bwana mpya anadumbukia tuu au.?
Hahahaha mwisho utaiwa tomaso woiiiTumosa
Mfyuuuuuuu
Haahahaha nenda kwa shigongo ukaomba contact zakeAnaushawishi
Abeeeh mfyuuuuuShangaziiii
Ebu niambie linavyosemaTangazo la zantel lasemaje eti?,
Baba wawili jamani ndio unaonekana leo wawili wako wanaendeleaje jamani
Nimeziona jamani@Shunie salam zako ivoo
Hahaha atamfundisha na vile vimsemo vyakeSio anao anamjaza mary amkubalie eti na wao watazaa mapacha
Marhaba dada ake,,habari za kwako??Shikamoo kaka ningendako
Mary hatakiii binamu mbahiliHahaha atamfundisha na vile vimsemo vyake
Mapacha wenu wa kudownload wenyewe binamu nae anataka kuingia kwa listmwendo wa mapacha tu
Mzee wa chura vpMary hatakiii binamu mbahili
Mapacha wenu wa kudownload wenyewe binamu nae anataka kuingia kwa list
Mary hatakiii binamu mbahili
....Mary hamtaki, bado ananipima, kanipa muda muwe na subra. Jiandae kula madikodikoMzee wa chura vp