.....yeah, ndo mimi, subiri ifike saa kumi jioni anko magu afanye kutujaza mahela, tutakuwa kama John Cheyo mzee wa mapesa yaani njoronjoro, makuta, fweza.
Andaa bajeti, nina fungu lako, ukiona gari la jeshi lisimamishe waambie unakuja Mtwara watakubeba frii