Hahahah jf ni kichaka mm bada ya kuona ananijua sasa na mm nikafanya juu chini na mm nimjue raha ya kuchunguliana wote mjuane sio mwenzio anakujua anakuchora tuu
Hahahah jf ni kichaka mm bada ya kuona ananijua sasa na mm nikafanya juu chini na mm nimjue raha ya kuchunguliana wote mjuane sio mwenzio anakujua anakuchora tuu
Steve Jobs alishawahi kuulizwa kwanini haruhusu watoto wake watumie iPad, akasema iPad ni kifaa hatari sana na ni rahisi kumfanya mtu awe addicted nacho hata ikampelekea kushindwa kufanya mambo mengine muhimu.
Uranus na Neptune ndiyo sayari pekee kwenye mfumo wetu wa Jua ambazo kunanyesha mvua ya dhahabu, yaani kama ilivyo mvua ya maji hapa Duniani basi kwenye sayari hizo mvua ya dhahabu huwa inanyesha kutokana na kiasi kikubwa cha carbon.