Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Nov 8, 2018 #342,801 marybaby said: Kwann wanaume mnawaota wanaume wenzenu Click to expand... MNAONGELEA NINI????
marybaby JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 3,260 Reaction score 9,197 Nov 8, 2018 #342,802 ningendako said: Kweli mkuu,,huku baridi aisee,,ila kikubwa uzima Majukumu Mungu anasaidia,,, Nikutakie mchana mwema bro. Click to expand... Baridi dawa yake kumbatio
ningendako said: Kweli mkuu,,huku baridi aisee,,ila kikubwa uzima Majukumu Mungu anasaidia,,, Nikutakie mchana mwema bro. Click to expand... Baridi dawa yake kumbatio
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Nov 8, 2018 #342,803 ningendako said: Kwema hapa?? Click to expand... Baba wawili huyo hapa nilikuwa najiandaa kuja likes kukuangalia
ningendako said: Kwema hapa?? Click to expand... Baba wawili huyo hapa nilikuwa najiandaa kuja likes kukuangalia
marybaby JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 3,260 Reaction score 9,197 Nov 8, 2018 #342,804 ningendako said: MNAONGELEA NINI???? Click to expand... Ndoto
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Nov 8, 2018 #342,805 marybaby said: Huku njema kbs,umekua adim Click to expand... Nipo Mary,,,mitikasi tu za hapa na pale.
marybaby said: Huku njema kbs,umekua adim Click to expand... Nipo Mary,,,mitikasi tu za hapa na pale.
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Nov 8, 2018 #342,806 marybaby said: rudi nyuma kwenye "je wajua Click to expand... Mimi nilkua naizungumzia hii hapa
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Nov 8, 2018 #342,807 dingimtoto said: Ujaipenda hii Gentle man Panky Click to expand... Hapana kwakweli ndio upo hivyo acha yule mbebez akukimbie wengine hatupengi mapanky makubwa wala maafro
dingimtoto said: Ujaipenda hii Gentle man Panky Click to expand... Hapana kwakweli ndio upo hivyo acha yule mbebez akukimbie wengine hatupengi mapanky makubwa wala maafro
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Nov 8, 2018 #342,808 ningendako said: Kweli mkuu,,huku baridi aisee,,ila kikubwa uzima Majukumu Mungu anasaidia,,, Nikutakie mchana mwema bro. Click to expand... Asante! Nawe pia kamanda
ningendako said: Kweli mkuu,,huku baridi aisee,,ila kikubwa uzima Majukumu Mungu anasaidia,,, Nikutakie mchana mwema bro. Click to expand... Asante! Nawe pia kamanda
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Nov 8, 2018 #342,809 marybaby said: Baridi dawa yake kumbatio Click to expand... Wanaita Kumbatio linalopumua
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Nov 8, 2018 #342,810 marybaby said: Neema hiyo hahaha Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Nov 8, 2018 #342,811 marybaby said: Ntaongeza c na d twende sawa Click to expand... Woiiiiiiii
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Nov 8, 2018 #342,812 Shunie said: Baba wawili huyo hapa nilikuwa najiandaa kuja likes kukuangalia Click to expand... Hahaha,,, Habari za uzima shunie?? Nilikumiss aisee
Shunie said: Baba wawili huyo hapa nilikuwa najiandaa kuja likes kukuangalia Click to expand... Hahaha,,, Habari za uzima shunie?? Nilikumiss aisee
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Nov 8, 2018 #342,813 Shunie said: Hapana kwakweli ndio upo hivyo acha yule mbebez akukimbie wengine hatupengi mapanky makubwa wala maafro Click to expand... hiyo tbt ujui leo alhamis tunakumbushia Yule amekimbia kwakuwa mimi nilisha mjua nje ya hapa ndiomana
Shunie said: Hapana kwakweli ndio upo hivyo acha yule mbebez akukimbie wengine hatupengi mapanky makubwa wala maafro Click to expand... hiyo tbt ujui leo alhamis tunakumbushia Yule amekimbia kwakuwa mimi nilisha mjua nje ya hapa ndiomana
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Nov 8, 2018 #342,814 marybaby said: Ndoto Click to expand... Aina ipi ya ndoto?
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Nov 8, 2018 #342,815 ningendako said: Hahaha,,, Habari za uzima shunie?? Nilikumiss aisee Click to expand... Mzima mm jamani baba wawili sijui we nilikumiss mpaka naumwa jamani kila siku naingia nakuita hola hapa nilikuwa najiandaa kuja likes na we unaingia
ningendako said: Hahaha,,, Habari za uzima shunie?? Nilikumiss aisee Click to expand... Mzima mm jamani baba wawili sijui we nilikumiss mpaka naumwa jamani kila siku naingia nakuita hola hapa nilikuwa najiandaa kuja likes na we unaingia
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Nov 8, 2018 #342,816 dingimtoto said: Asante! Nawe pia kamanda Click to expand... Shukrani sana kaka.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Nov 8, 2018 #342,817 dingimtoto said: hiyo tbt ujui leo alhamis tunakumbushia Yule amekimbia kwakuwa mimi nilisha mjua nje ya hapa ndiomana Click to expand... Sasa mbona hana ubaya wa kukukimbia kama umemjua sio yy ndio kakukimbia we jamani
dingimtoto said: hiyo tbt ujui leo alhamis tunakumbushia Yule amekimbia kwakuwa mimi nilisha mjua nje ya hapa ndiomana Click to expand... Sasa mbona hana ubaya wa kukukimbia kama umemjua sio yy ndio kakukimbia we jamani
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Nov 8, 2018 #342,818 ningendako said: Aina ipi ya ndoto? Click to expand... Wanaume kwa nn mkilala mara nyingi mnawaota wanaume wenzenu tofauti na sisi wanawake
ningendako said: Aina ipi ya ndoto? Click to expand... Wanaume kwa nn mkilala mara nyingi mnawaota wanaume wenzenu tofauti na sisi wanawake
marybaby JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 3,260 Reaction score 9,197 Nov 8, 2018 #342,819 ningendako said: Aina ipi ya ndoto? Click to expand... Eti ukilala unaota jinsia yako
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Nov 8, 2018 #342,820 Shunie said: Mzima mm jamani baba wawili sijui we nilikumiss mpaka naumwa jamani kila siku naingia nakuita hola hapa nilikuwa najiandaa kuja likes na we unaingia Click to expand... Aisee,,bhasi kumbe bado na maisha marefu shunie,,nmekuja leo ABJ bado tu hajaachiwa na watekaji??
Shunie said: Mzima mm jamani baba wawili sijui we nilikumiss mpaka naumwa jamani kila siku naingia nakuita hola hapa nilikuwa najiandaa kuja likes na we unaingia Click to expand... Aisee,,bhasi kumbe bado na maisha marefu shunie,,nmekuja leo ABJ bado tu hajaachiwa na watekaji??