Ni wewe ulituma? Mwanangu yametumwa mabo hapa nimeshinda najibu. naona hamjaishoma dunia ya sasa. Wenzio wananiuliza nawajibu. Swali hivi ukienda nchi za kicommunist kama Korea north na china JF inapatikana?
Sasa basi uwe unajitahidi kuwahi kidogo walau saa sita EAT manake zaidi ya hapo ni ngumu, ikifika saa nne watu wanaanza kuaga sa mtu kubaki mwenyewe napo inachosha