Makapuku Forum

...ujue bhinamu, watu hawajui, leo nawaambia sasa, yaani wewe ndo ndugu yangu kabisa wa ukweli. Unaniwazia mambo mazuri sana, kwa hii meseji nidai kinywaji (ila kama utasema bia, onyesha kitambulisho cha mpigakura ndo unywe)
Nikinywa utalipia ww binamu
ninunulie hata juisi cola tu,mambo ya vitambulisho me cyawezi
 
Nashukuru anko mi nipo najenga viwanda tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…