Oops,! Bc nimeghairi wacha nimalizie wikiendi
Tumsifu yesu KristoWewe ushaanzaaa ili unikomoe kwa my baby ...sasa nakwambia abj sijui abc si alikupa namba na buku jero ulimpaaa
Kwa upande mwingine flat shoes vimekuwa vikivaliwa sana na watu ambao wana uzito mkubwa na wale ambao hawapendi kuvaa viatu virefu.
Pia viatu hivi vimekuwa vikivaliwa kulingana na aina ya nguo uliyovaa kwani wakati mwingine nguo huendana na aina ya viatu kitu ambazo watu wengi huwa hawakizingatii mavazi mengine yanatakiwa kuvaliwa na flat shoes.
Na kitu kingine cha kuzingatia ili upendeze na aina hii ya viatu unatakiwa kuchagua vinavyoendana na rangi ya nguo uliyovaa.
...malizia kwa usalama, jumatatu niletee simu yako nikague (niko kwenye timu ya RC Mako, kukagua kama una picha na video za We.ma au Amberruty)
Waaaaaooooooh milele yaaan Mungu mkubwaaTumsifu yesu Kristo