Author
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 1,745
- 8,230
Cha kupanga mzeeHotel au cha kupanga
Cha kupanga mzeeHotel au cha kupanga
Sawa mkuuCha kupanga mzee
[emoji3][emoji3][emoji3]soweto mitaa ya mwambene hapo kwa fwas unapata room linafikika kwa bajaj hadi mlangoni Full lamiHuyu mwongo mbona hajanitafuta nipo hapa sido jirani kabisa na mwakimomo store
Mitaa yako ya kazi au upo must chuo ??? Unataka kiwe jiran na wapi nikupe direction hapo GreenCityMndali natafuta chumba bhana...ni mgeni hapa Mbeya
Soweto na ilomba huwez kosa chumba cha 50Vyumba gani?
Kwa bei hiyo hapo anapata vizur kabisa ....mitaa ya mwambene [emoji3][emoji3][emoji3] na viunga vyake ...bajaj za kwenda mitaa hiyo zipo kabwe hapo ....hukanyag vumbi hata sehem moja toka kabwe mpaka kwako.Mkushi shikamoo
Soweto ndo kuna vyumba?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona kapotea tena nilitaka nimuunganishe na dogo amtafutie[emoji3][emoji3][emoji3]soweto mitaa ya mwambene hapo kwa fwas unapata room linafikika kwa bajaj hadi mlangoni Full lami
Atarud sijui kapotelea wapiNaona kapotea tena nilitaka nimuunganishe na dogo amtafutie
SawaAtarud sijui kapotelea wapi
Hi[emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]binamuHuyo ndo binamu yetu bana anataka muwagombanishe chura na nyoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38]Huyo ndo binamu yetu bana anataka muwagombanishe chura na nyoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anatafuta vyumba kaka ake[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huko kote anatafuta vyumba tu au anatafuta na vingne
Nimewasiliana nae ila nataka kumuunganisha na mtuAnatafuta vyumba kaka ake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Soweto mwambene ndo wap lakin mkushi[emoji3][emoji3][emoji3]soweto mitaa ya mwambene hapo kwa fwas unapata room linafikika kwa bajaj hadi mlangoni Full lami
Hata mm nashangaa wakati vya 30000 unapataSoweto na ilomba huwez kosa chumba cha 50
Mwanzo sikumuelewa nilijua anatafuta hotel cjui[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa bei hiyo hapo anapata vizur kabisa ....mitaa ya mwambene [emoji3][emoji3][emoji3] na viunga vyake ...bajaj za kwenda mitaa hiyo zipo kabwe hapo ....hukanyag vumbi hata sehem moja toka kabwe mpaka kwako.
Anzia hapohapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nianzie wapi eti
Shangazi shikamoo!Nianzie wapi eti