Kama huna uhakika nini kinakuletea mushkeri, ni vyema kutafuta viashiria vyake kwa kumuona mtaalam wa aleji.
Sehemu kubwa ya aleji haitibiki, san asana wataalam watakupatia dawa Fulani za kukusaidia kupunguza makali, lakini kwa vyovyote vile hali hii unaweza kuimudu mwenyewe kwa kuhakikisha unaondokana na ulaji au utumiaji wa vipodozi vya ovyo ovyo.
[emoji15][emoji15]kwa unyonyaji wa jamaa alonyonya lips ya wema.?Usisahau ukimaliza kumuonesha mnyonyeshe
Aiseee,,,ngoja tumsubr siku akija atasema tatzo ilikuwa nn...usiamini, mimi mwenyewe sijamuona, namtafuta polepole kwa sababu nasubiri msimu wa kuuza korosho uanze, na kwa taarifa yako tumekataa kuuza kwa bei ya chini ya elfu 5
Habari za asubuhi ndugu zangu
Kumbe sijakusalimia dada Ester??Marahabaa
Kumbe sijakusalimia dada Ester??
Nmeamka na mambo mengi,,ada za shule za anti zako znanchanganya hapa
Shikamoo dada