Makapuku Forum

Chama cha Soka Mkoa wa Mara kimeilalamikia CCM kwa kuruhusu tamasha la muziki (Fiesta) kufanyika katika Uwanja wa Karume na hivyo kuharibu eneo la kuchezea mpira.

Chama hicho kimesema kilitumia TZS milioni 70 kukarabati uwanja huo unaotumiwa na Biashara United inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania.

Chama hicho kinasema kuwa hatua hiyo ilifanywa kwa kuangalia maslahi ya watu wachache wanaopenda muziki ila hawakuangalia maslahi ya mpira.

Aidha kimetaka, kama kutakuwepo na matamasha mengine ya muziki, yafanyike sehemu nyingine, si kwenye viwanja vya mpira
 
Chama cha Waigizaji Mkoa wa Kinondoni (TDFAA) kimemfungia Wema Sepetu kujihusisha na masuala ya filamu kwa muda wa miaka miwili.

Aidha chama hicho kimezitaka mamlaka za kiserikali zipuuze utetezi unaotolewa na mwigizaji huyo, kwa kuwa una lengo la kuvipumbaza visimchukulie hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…