Wazee tunazeeka mkuu..Kwa upande wangu naona JF inaboa Sikh hizi! Hakuna mada za kuchangia wala stories za kuchangamsha. Hata we sikuoni kwenye mada kule.
Vipi lakini kilimo huko
Acha hivo mkuu wacha nikawaone watani zangu.. Itakua vizuri pia ukiwa Na mkwe kama mieHahahaha, ninyi vijana siwataki kabisa.
Wewe usije ukaanza kuvizia mabinti zangu.
Ndiyo kwanza wanasoma, nawalinda sana.
Aisee katika kitu ambacho niko Sensitive maishani mwangu basi ni hawa watoto.Acha hivo mkuu wacha nikawaone watani zangu.. Itakua vizuri pia ukiwa Na mkwe kama mie
Hahahaaa umri no mtambukaWazee tunazeeka mkuu..
Tunakosa muda wa kuja jf..
Tumewaachia ninyi vijana sasa.
Ndio tunaimarisha urafik Na undugu hivo mkuuAisee katika kitu ambacho niko Sensitive maishani mwangu basi ni hawa watoto.
Unaona sasa... hiyo ndiyo tone ya kuombea Peruvian hairs manake inanyegesha nyegesha!Sawa binamu chige nimekuelewa jamani
Dah! Huu ndo muda muafaka wa kupiga fitina!Uzuri anajua kabisa sitoi za show off!.. Na akileta jeuri anamkuta shoga ake chumbani!..Huyo bila ubabe utanikuta naosha vyombo siku moja!..
Went AWOL only after being told to pay for the Peruvian Hair! Unafanya mchezo na 400K wewe!Cuz whaaat up,
Where u bin ???
Ana bahati umemtetea manake nilishaweka nia ya ku-revenge!Labda hukuelewa uke wenza wetu Wick una msingizia
Kunipa nini binamu? Mi sijaelewa ujue nifafanulie na Wick asikie huo ufafanuzi!Nakupa ww binamu tu
Mkuu Wick, hapa nikiwa ndani ya wiki ya majungu na fitina ningependa kwa heshima na taadhima kuchukua nafasi hii kusema kwamba, ndugu yangu, tufanyiane mtimanyongo kwa mengine lakini sio kwa maneno! Kwahiyo, Binamu Shunie umesema?!Binamu nikule tu yaani we nikule haya naomba laki 4 ya peruvian
Na mimi je, unanipenda?![emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] waambie nawapenda[emoji23] [emoji23]
Hiki kicheko kimejaa full unafiki na majungu ya kutaka kunigombanisha na Wick!Bwhahahaha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha, ninyi vijana siwataki kabisa.
Wewe usije ukaanza kuvizia mabinti zangu.
Ndiyo kwanza wanasoma, nawalinda sana.
Wana umri gani MkuuAisee katika kitu ambacho niko Sensitive maishani mwangu basi ni hawa watoto.
Hahhahhaha nani hamisa
Maajabu hayaezi isha
Hawa wajanja