Makapuku Forum

Eeeenh
 
Mm napenda nguo fupi jamani toka nipo kijana mpaka sasa na uzee wangu
 
Vaa nguo kulingana na mazingira, kama una gari ni sawa lakini kama unajua unakwenda kutumia usafiri wa daladala huku ukiwa umevaa sketi fupi itakayokufanya ushindwe kukaa vizuri na hata kuinama hiyo si sawa sawa
Unavaaje nguo fupi umepanda daladala kuna uber kuna taxfy mabajaj yote haya hata kama hauna gari
 
Uzuri anajua kabisa sitoi za show off!.. Na akileta jeuri anamkuta shoga ake chumbani!..Huyo bila ubabe utanikuta naosha vyombo siku moja!..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…