Paa
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 1,462
- 2,938
Umeanza lini upagani?Niwatakie usiku mwema,msisahau kwenda ibadani siku ya kesho kwa wale wenzangu na mie,wengine mapumziko mema
Umeanza lini upagani?Niwatakie usiku mwema,msisahau kwenda ibadani siku ya kesho kwa wale wenzangu na mie,wengine mapumziko mema
Pole weeHahaha, hayo mambo yana umri mkubwa kuliko wakwangu
Lala UNONOOPole wee
Mm sio mpagani bana mbona nmewakumbusha hapo kesho tuende kanisaniUmeanza lini upagani?
Wewe ebu acha woga mm kibonge mwepesiUtam wwnyewe ushaumaliza huko uje unipe kazi ngumu hapana.
Nguvu za pale mbuna hata nyumba inainuka tu ha ha haa
Anhaa, takupitia..Mm sio mpagani bana mbona nmewakumbusha hapo kesho tuende kanisani
Sijambo vp wwMarahaba! Hujambo?
Muongoooo kuna siku kanifata WhatsApp ananiuliza nijifunze na nn nikamwambia nunua redds anza nayo kwako hapo hapo usitoke kama vituko ufanye kwakoKumbe,,basi alinificha alisema togwa na ulanzi
Kweli jamaniAhahahaahah shunie bhana!!!
Mh ebu niambie bwanaAmna usitishike Mkuu....kawaida tu.
@Tumosa uwe na wakati mzuri ktk huu usiku wako!Niwatakie usiku mwema,msisahau kwenda ibadani siku ya kesho kwa wale wenzangu na mie,wengine mapumziko mema
Narudia tena mzuka ukipanda hata nyumba inainuka wewe mwepesi kabisaWewe ebu acha woga mm kibonge mwepesi
Muongoooo kuna siku kanifata WhatsApp ananiuliza nijifunze na nn nikamwambia nunua redds anza nayo kwako hapo hapo usitoke kama vituko ufanye kwako



et vituko,,,kumbe ww ndio mwalimu wa dada anguBinamu kuomba mwisho chipsi mayai lakini akifikia kuomba hadi Peruvian Hair, hamna namna, huyo ni wa kumla tu... tena sio kwa part time bali full time kabisa ili mradi shangazi asijue!Kaka angu nampenda tu mm kaka chige ana wivu na dada akee sijapata kuona sijui anataka kunikula yeye