Makapuku Forum

Vaa nguo kulingana na mazingira, kama una gari ni sawa lakini kama unajua unakwenda kutumia usafiri wa daladala huku ukiwa umevaa sketi fupi itakayokufanya ushindwe kukaa vizuri na hata kuinama hiyo si sawa sawa
 
@shunie njoo ujifunze na ukibonge wako[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…