Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jina la huu wimbo usilitafasiri kwa Kiswahili cha anko wangu, utashindwa kuusikiliza na kuufurahia kama aunt yangu Shunie anavyoupenda. Jamani atakaeyemuona ABJ mwambieni huu wimbo na yeye ausikilize kwa niaba yangu aje anisimulie maana kesho ni furahiday huwezi jua anaweza kujishindia zawadi toka kwangu maana nina buku jero hapa naliona linashangaashangaa sasa akipatikana mwenye shanga analilamba

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo hiyo buku jero ajishindie ABJ tu binamu mm naitaka na mm

Back
Top Bottom