Makapuku Forum

Eeenh wamefuta jamani eti kushangaa anko wangu unaitwa baby nikawatag Wick na chige binamu
Binamu huyu jamaa anayejiita Malcom Lumumba ana mtu watu miongoni mwa Mods! Akiona kuna post inayoelekea kuanika mambo yake ya kikubwa tu, anabonyeza kitufe tu, chwaaaa... post inafutwa ili aendelee kutuzuga na of course, kikubwa zaidi, ili asigongeshe magari! Hizi PM hizi...
 
Hahhahah kuna siku niliwafuma sehemu na Wick nikawasoma kimyakimya unamwambia unarudi next week nikawasoma mwenyewe
Waoneee huruma tu..Mpwa bwana nimekaa Daslam siku 5 nikaondoka lakini narudi tena tarehe 6 nakaa mpaka January. Tutakitafuta na bwana Wick na Chige...
 
Kaká chige upoo jamani
Hahahaaa!! Narudia, kule kwingine nitaendelea kukuamini kwa 100% na hata ile offer ya kunipigia kampeni bara mpaka pwani naipokea kwa mikono miwili; lakini huku... HAPANA KWA KWELI, sikuamini tena!!
 
Ujue kaka chige kuna kaukweli hapa eti nimewaita mje kuona anavyobebika post imefutwa
 
Hahaa! We jamaa sijui utapeli umeanza lini! Ndo maana nikasema hapo kabla kwamba, kuanzia sasa sikuamini hata punje:
Habari wadau, JF member ebu sema ni mkoa gani unapatikana kwa sasa .....
Muda mfupi baadae
Mbona mimi siyo wakishua mzee ?
Niko zangu Kagera nalima miwa tu.
Mkuu Wick, tafadhali njoo utuondolee huyu mtu wako umpeleke huko jukwaa la inteneshino au akajadili makinikia manake hili jukwaa limejaa tusichana tudogotudogo kama akina Demiss na binamu yangu Shunie!

Ni ngumu kwao kugundua hawa matapeli... unashitukia tu manyoya yapo jalalani!
 
Hahahahaha
Ukulima si kwa msimu ndugu yangu, nina mashamba mengi bwanaaaa.
 
Ujue kaka chige kuna kaukweli hapa eti nimewaita mje kuona anavyobebika post imefutwa
Mi mbona niliiona ile post dada Shunie... ndo maana nikasema simwamini tena huyu jamaa! Sema dada Shunie na wewe unapoongea na mimi usiwe unaongea kwa mapozi namna hiyo bhana! Unanipa mtihani ujue wakati unajua kabisa wewe ni binamu yangu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…