MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,456
- 69,361
Mbona mimi siyo wakishua mzee ?Ooh ,mitaa ya kishua hy
Kisusio hakuna MkuuKuna kisusio hapo mkuu?......nipe ramani please!!
Hahahaha ,Sawa MkuuMbona mimi siyo wakishua mzee ?
Niko zangu Kagera nalima miwa tu.
Waoneee huruma tu..Mpwa bwana nimekaa Daslam siku 5 nikaondoka lakini narudi tena tarehe 6 nakaa mpaka January. Tutakitafuta na bwana Wick na Chige...Kwahiyo manzi kakopwa aisee wana kazi ngumu hawa wanaojiuza
HahahahaWaoneee huruma tu..Mpwa bwana nimekaa Daslam siku 5 nikaondoka lakini narudi tena tarehe 6 nakaa mpaka January. Tutakitafuta na bwana Wick na Chige...
Dogo vipi aisee..Long time sijatia miguu humu..
Safi kwema KongoziDogo vipi aisee..
Hahaha yule ni mtani wangu bwana...Umefutika wangu wako na baby wako upo anko
Aah sema shikamoo bwana...Mimi ni mkubwa sana kwako mzee.Safi kwema Kongozi
Hahahaaa shikamoo Mzee wa zamani mwenye swaga za kibongo flevaAah sema shikamoo bwana...Mimi ni mkubwa sana kwako mzee.
Tafadhali add me into your to do list..Waoneee huruma tu..Mpwa bwana nimekaa Daslam siku 5 nikaondoka lakini narudi tena tarehe 6 nakaa mpaka January. Tutakitafuta na bwana Wick na Chige...
Hahahaha bwana mdogo mimi wewe ntakitafuta kwa siku yangu maalumu.Tafadhali add me into your to do list..
AmeeenTUOMBE:Baba yetu Mtakatifu uketiye mahali pa juu sana tunalihimidi jina lako ,tunakuja mbele zako kwa shukurani kwa kutuamsha salama siku mpya na mwezi mpya wa leo , Jumatatu Tarehe 1 OKTOBA 2018.Asante sana maana umekuwa mwena kwetu hata kutuvusha salama ,Tunaomba Toba kwa yote ambayo tumekosa kwa mawazo ,maneno ,matendo Turehemu twakusihi.
Tunaomba mwezi huu tuanze nawe Baba na tumalize nawe hesabu hatua zetu Mfalme wa Amani tuishi maisha ya kukupendeza..Bariki kazi za mikono yetu.Bariki familia ..Bariki Nchi yetu iwe ya Amani.Ponya wagonjwa majumbani na mahospitalini ponya Majeraha yote fariji wafiwa,wape tumaini wajane,wagane,yatima na wote waliovunjika mioyo.Tupe neema ya kulishika na kuliishi neno lako.
Bariki kazi za mikono yetu na inua uchumi wetu.
Tunaombea familia zetu ziongoze ziishi maisha ya kukupendeza na Upendo utawale.Roho Mtakatifu mwalimu wetu tufundishe tuongoze kaa nasi mwezi huu wote uwe wa kukutafuta Mungu kwa bidii.Epusha ajali,maafa..wasafiri waende na kurudi salama nchi kavu,angani,majini tulinde Baba.
Tunaomba yote katika jina la Yesu Kristo Amen
JUMATATU NJEMA NA MWEZI WA OKTOBA MWEMA WA BARAKA NA MAFANIKIO
Marahabaa Dada Vinci..Eeh bwana ahsante sanaaa. Mimi mkubwa wewe mzee wa 80' na 90' usiniamkie kweli ?Hahahaaa shikamoo Mzee wa zamani mwenye swaga za kibongo fleva
Iwe kama ulivyonena. Bwana mkubwa..Hahahaha bwana mdogo mimi wewe ntakitafuta kwa siku yangu maalumu.
Kweli bana lazima nikuamkie. Miaka 5 uliyonipita si habaMarahabaa Dada Vinci..Eeh bwana ahsante sanaaa. Mimi mkubwa wewe mzee wa 80' na 90' usiniamkie kweli ?
Hahahaha, mimi nimevaa ndopa shule.Kweli bana lazima nikuamkie. Miaka 5 uliyonipita si haba
Hahahaaa!! Narudia, kule kwingine nitaendelea kukuamini kwa 100% na hata ile offer ya kunipigia kampeni bara mpaka pwani naipokea kwa mikono miwili; lakini huku... HAPANA KWA KWELI, sikuamini tena!!Mimi tenaaa ?
Mnanioneaa....
Wee Mzee sasa utulie ushakula ujana vya kutosha, akina shunie tuachie Sie..Hahahaha, mimi nimevaa ndopa shule.
Mzee mimi sijazaliwa 1981, 1985 au 1994.