Hahahahahah aisee haya anko binamu...kutafuta na kupata mbona rahisi tu humu, aanzishe uzi, aweke picha yake ya mwanamuziki mwenye six pack afu ajiseme yeye ana gari na anakaa Mbeya. Afu aseme tu alishafika Dar (kama hakai Daslamu).
Mimi kumtafutia siwezi maana na sina sababu ya kutoweza.
Vipi ombi langu la email umeliona? Au huna email unatumia ya anko Lyon Lee
Ndiyo, leo nitalinda na binamu yangu huyo!Msaidie ulivo na huruma hvo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahah mnh sasa mi sina chura hawez nisaidia
Hahahah[emoji23][emoji23][emoji23]
4.Vyakula Vinavyotengenezwa Hotelini Kutumia Viungo Mbalimbali.
Tumekuwa tukila chemicals nyingi hasa hotelini , maana kila kiungo chao ni ready made, kwa maana kimetengenezwa tayari muda mrefu. Na huko mahitaji yao huwa sio fresh, wanatumia vitu vilivyokaa muda mrefu wengi wao. Nakushauri tu kutumia chakula cha nyumbani amacho ni fresh kwa ajili ya afya yako , kama unajali.
Lakini unaweza kuagiza aina ya chakula ambacho hakina viungo kabisa, na lazima uwe unafahamu kuwa kitakuwa fresh.
Sawasawa,nawatakia ulinzi mwemaNdiyo, leo nitalinda na binamu yangu huyo!
6.Keki za mitaani na mikate iliotengenezewa Siagi.
Nimekuwa nikifikiri kuwa keki na mikate ni nzuri kwa sababu imetengenezwa na unga na mayai. Lakini kumbe ni hatari sana kula keki , mikate myeupe , kidogo ule mkate wa unga usiokobolewa . kila ukinunua keki za kiwandani soma kiti yake imetengenezwa na nini utaona jinsi zilivyo na sukari nyingi . vitakusababishia kupata kisukari na uzito wako kuwa mkubwa. punguza au acha kabisa kula hivyo vitu.
mboga ya kijani ya leefy.
Zipende mboga za kijani, penda mboga ya kale, spinachi na mboga zingine zote zenye kijani iliokolea. leefy green zinatengenezewa salad, supu, pasta na casse roles, zina faida kubwa mwilini , kwa kuwa zinazuia saratani hasa ya mdomo na koo.
Pamoja na kwamba hakuna risasi ya kuipiga saratani inapoingia mwilini, lakini kuna njia nzuri za kuzuia isiingie mwilini mwako.
Binamu na wewe ntakusaidia kupata vizuriii...[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Mfyuuu kwahiyo nawewe unakubali kufundishwa ujinga
Aah kwahiyo unamonea huruma kwani ye hajui anachokifanya..[emoji53]
Nami nakupendaa wewe shahidi da tumosa[emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]weee...lazima anionee huruma, mimi ni mtoto wa dada yake kabisa wa damu, yaani inawezekana nimesingiziwa baba lakini mama hapana.
Hiii naomba moderator waifute..akili za anko wangu hizo, kabla hajafukuzwa kule kwenye mtaa wa mkuu wa mkoa kwa kumpachika mimba mtoto wa shule, mtaani aliitwa TBS.
Ulikuwa hujui hii skendo?
Tatizo binamu hana chura![emoji2089][emoji2089][emoji2089]Sawasawa,nawatakia ulinzi mwema
[emoji23][emoji23][emoji23]dadangu mnaugomvi gani kwani maana husemagi nambie leo
Awww...[emoji8][emoji8][emoji8]
Mpenda cartoon