...namba nilitumiwa lakini majanga niliyokutana nayo kwenye hiyo namba hata ungekuwa mlokole ungesalimu amri. Ni namba ya mganga kutoka Nigeria
Bora ulivyompa no hii nyimbo iisheOoh[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]sikutekwa mwee
Hahahah nilimpa kafurahijee
Ahaa kumbe kuna binamu mwingine nitambulishe basi anitambue [emoji16]
Na ww binamu nakupenda jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji19][emoji19][emoji19]
Uchovu bado haujaisha jamani mwili wote unauma au ninunulieni kungfu mtaniona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kungfu?ukianza kulia hapa nani atakubembelezaUchovu bado haujaisha jamani mwili wote unauma au ninunulieni kungfu mtaniona
Binamu mimi unanipenda kidogo tu![emoji19][emoji19][emoji19]Na ww binamu nakupenda jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bora ulivyompa no hii nyimbo iishe
....wewe tena, usingesema haya ningesema labda kuna mtu kaingia humu kwa jina lako wakati unaburudika na mdumange
Kwahiyo binamu ndio mm haoDuh, pole kwa uchovu aunt yangu mwenyewe. Ilikuwa kazi kweli kweli
Na ww binamu nakupenda jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
EiiishBinamu mimi unanipenda kidogo tu![emoji19][emoji19][emoji19]
Huyo ni binamu mpya anamuonea wivu obeEiiish
Mshakuwa mtu na binamu yake tena
Haya kila la heri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo binamu ndio mm hao
Nakupenda binamuBinamu mimi unanipenda kidogo tu![emoji19][emoji19][emoji19]
Kaaah kumbe ulikuwa wimbo wa taifaBora ulivyompa no hii nyimbo iishe
Umenikumbusha 1990 mwalimu mwanjisi alikuwa ndio ametoka JKT alitukimbiza mzee.mchakamchaka daaSafi Sana kijana, kuna ule wimbo wa muda kdg , "vijana msilale ,lale lale vijana msilale bado mapambano "
Kazi ngumu hiyoDuh, pole kwa uchovu aunt yangu mwenyewe. Ilikuwa kazi kweli kweli